Tarehe ya kuwekwa: December 31st, 2018
Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa anatarajia kuanza ziara ya siku nne katika mkoa wa Ruvuma.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme akizungumza na wanahabari ofisini kwake mjini Songea...
Tarehe ya kuwekwa: December 30th, 2018
WAJASIRIMALI wadogo ambao ni wanawake,vijana na makundi maalum katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma wamepewa mkopo wa milioni 95 bila riba.
Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jam...