Tarehe ya kuwekwa: October 30th, 2018
MKUU wa Idara ya Maji katika Manispaa ya Songea Mhandisi Samwel Sanya anasema Idara ya maji inaendelea na utekelezaji wa miradi mbalimbali chini ya mpango wa maendeleo ya sekta ya maji awamu ya kwanza...
Tarehe ya kuwekwa: October 29th, 2018
HALI ya usafi katika Mitaa yote 95 ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma, inaridhisha kwa sababu ya zoezi la usafi wa mazingira kuwa endelevu kwa kufanya usafi wa mazingira kila jumamosi ya mwisho...
Tarehe ya kuwekwa: October 29th, 2018
WAZIRI wa maji Profesa Makame Mbarawa amesema Serikali itahakikisha miradi yote ya maji vijijini na mijini inakamilika kwa wakati ili kuwaondolea kero ya maji Safi na Salama wananchi ili waweze ...