Tarehe ya kuwekwa: November 22nd, 2018
MKURUGENZI wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea Tina Sekambo amewakabidhi vyeti madiwani mawili ambao wamepita bila kupingwa katika Manispaa ya Songea.Madiwani hao ni Mchungaji Martin Mlata wa Kata ya...
Tarehe ya kuwekwa: November 22nd, 2018
MKUU wa Wilaya ya Songea Pololet Mgema amesema wafugaji zaidi ya 4oo wamevamia Hifadhi ya Gesimasowa iliyopo Halmashauri ya Madaba wilayani Songea mkoani Ruvuma ambapo serikali ipo katika mpango wa ku...