Tarehe ya kuwekwa: October 29th, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Bi Isabela Chilumba amewataka wanaume kuwa majasiri wa kupima afya zao badala ya kutegemea majibu ya wenza wao ambao hupima virusi vya UKIMWI kwa lazima wakiwa wajawazito...
Tarehe ya kuwekwa: October 28th, 2018
MKUU wa wilaya ya Songea Pololet Mgema leo ameungana na wananchi wa Mtaa wa Mbarika Kata ya Mfaranyaki Manispaa ya Songea kushiriki katika usafi wa Jumamosi ya mwisho wa mwezi Oktoba.Pamoja na mambo m...