Tarehe ya kuwekwa: October 23rd, 2018
WAWAKILISHI wa Benki ya Dunia wamefanya ziara katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea na kukagua miradi mitano ambayo inatekelezwa katika Manispaa hiyo.
Wawakilishi hao wameongozana na wawakilishi...
Tarehe ya kuwekwa: October 22nd, 2018
MKUU wa wilaya ya Nyasa Isabela Chilumba akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma amekagua Msitu wa Hifadhi ya asili ya Chiwindi yenye ukubwa wa hekta 3000 iliyopo mpakani mwa Tanzania na Msumbiji.
...