Tarehe ya kuwekwa: October 15th, 2023
Halmashauri ya Manispaa ya Songea imepokea vifaa vya usafi vyenye thamani ya shilingi 580,000 kutoka kwa TARURA kwa lengo la kuwezesha mji kuwa na hali ya Usafi.
Miongoni mwa vifaa vilivy...
Tarehe ya kuwekwa: October 12th, 2023
Siku ya wazee Duniani ni siku ambayo huadhimishwa ifikapo tarehe 01 Oktoba ya kila mwaka Duniani kote ambapo kwa mwaka 2023 Manispaa ya Songea sherehe hizo zimefanyika tarehe 11 Oktoba 2023 kati...
Tarehe ya kuwekwa: October 9th, 2023
Komredi Oddo Mwisho Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Ruvuma amewataka viongozi na Wataalamu Manispaa ya Songea kulinda rasilimali za shule ili miundombinu ya shule hizo iweze kudumu na kutumika &...