Tarehe ya kuwekwa: September 21st, 2018
WATU 86 hadi sasa ndiyo ambao wamethibitishwa kufa katika ajali ya MV.Nyerere ndani ya ziwa Viktoria mkoani Mwanza. Watu 37 waliokolewa hiyo jana wakiwa hali mbaya kwa mujibu wa mkuu wa mkoa wa Mwanza...
Tarehe ya kuwekwa: September 20th, 2018
HALMASHAURI ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma katika mwaka wa fedha 2017/2018 ilitenga Tshs 169,768,620.00 kwa ajili ya kukopesha vikundi vya wanawake 100 na vijana 77. Hadi kufikia Juni...