Tarehe ya kuwekwa: September 14th, 2018
MRADI wa Kituo cha Kupooza na Kusambaza Umeme toka Makambako mkoani Njombe hadi Songea mkoani Ruvuma ambao umegharimu shilingi bilioni 216 umekamilika kwa asilimia 100 .
Waziri wa Nishati D...
Tarehe ya kuwekwa: September 14th, 2018
HATIMAYE umeme wa Gridi ya Taifa umefika mjini Songea na Mkoa wa Ruvuma kwa ujumla kupitia Makambako na Madaba. Mashine za Mafuta (Diesel Generetors) za Madaba zimezimwa rasmi na wananchi wanafu...
Tarehe ya kuwekwa: September 14th, 2018
HALMASHAURI ya Manispaa Songea mkoani Ruvuma ina jumla ya viwanda 512 vilivyopo katika baadhi ya kata zilizopo katika Halmashauri ya manispaa hiyo.
Kati ya viwanda hivyo kiwanda kikubwa ni kimoja &...