Tarehe ya kuwekwa: September 15th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Songea Kapenjama Ndile amewataka Maafisa Ugani wa kilimo Wilaya ya Songea wahakikishe wanatekeleza wajibu wao katika kusimamia wakulima na kutoa elimu kwa wananchi juu ya...
Tarehe ya kuwekwa: September 15th, 2023
Mafunzo kwa makarani waongozaji katika uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya Mfaranyaki yanaendelea kutolewa leo tarehe 15 Septemba 2023 kwa washiriki, yanayofanyika katika ukumbi wa SAC...
Tarehe ya kuwekwa: September 15th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanal. Laban Thomas amezindua kongamano la JIONGEZE ni zamu yako lililofanyika leo tarehe 15 Septemba 2023 katika ukumbi wa Manispaa ya Songea.
Kongamano hilo linalenga kutoa...