Tarehe ya kuwekwa: August 27th, 2018
UCHAFUZI wa mto Ruvuma unaofanywa na wachimbaji wa madini katika nchi ya Tanzania na Msumbiji unatishia ustawi wa viumbehai wakiwemo binadamu na viumbehai wa majini na ardhini.
Afisa Maliasil...
Tarehe ya kuwekwa: August 26th, 2018
SERIKALI kupitia Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imeamua kuanzisha kitengo mahususi cha kuvutia utalii wa mikutano kinachojulikana kama 'The National Convention Bureau'.
Kitengo hicho kitakuwa na mam...
Tarehe ya kuwekwa: August 26th, 2018
SERIKALI ya Watu wa Marekani imenunua magari sita yenye thamani ya Dola za Marekani 192,000 kwa ajili ya kutekeleza Mradi wa Mwitikio wa Kudhibiti UKIMWI katika mikoa mitano ya Nyanda za Juu Kus...