Tarehe ya kuwekwa: September 15th, 2023
Mafunzo kwa makarani waongozaji katika uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya Mfaranyaki yanaendelea kutolewa leo tarehe 15 Septemba 2023 kwa washiriki, yanayofanyika katika ukumbi wa SAC...
Tarehe ya kuwekwa: September 15th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanal. Laban Thomas amezindua kongamano la JIONGEZE ni zamu yako lililofanyika leo tarehe 15 Septemba 2023 katika ukumbi wa Manispaa ya Songea.
Kongamano hilo linalenga kutoa...
Tarehe ya kuwekwa: September 14th, 2023
Mwenyekiti wa kamati ya Lishe Manispaa ya Songea amewataka wataalamu wa Lishe, kuhakikisha wanaendelea kutoa elimu ya lishe kwa jamii ili kuondoa utapiamlo kwa watoto chini ya miaka 5 &nbs...