Tarehe ya kuwekwa: July 19th, 2018
KAKAKUONA ambaye ni mnyama adimu duniani leo amezua amekuwa kivutio cha aina yake katika viunga vya manispaa ya Songea mkoani Ruvuma ,baada ya watu mbalimbali kujitokeza kumshangaa mnyama huyu. Jina k...
Tarehe ya kuwekwa: July 19th, 2018
MGUNDUZI wa madini ya Tanzanite katika eneo la Mirerani mkoani Manyara, Mzee Jummane Ngoma amesafirishwa kwenda nchini India kupatiwa matibabu.Mzee Ngoma baada ya kutambuliwa na serikali ...
Tarehe ya kuwekwa: July 19th, 2018
WAKALA wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula(NFRA) Kanda ya Songea imependekeza kununua mahindi ya akiba ya serikali tani 7000 katika kipindi cha kuanzia Julai 2018 hadi Juni 30,2019.
Mkoa wa Ruvuma katik...