Tarehe ya kuwekwa: June 15th, 2018
MGANGA Mkuu wa Manispaa ya Songea Dk.Mameritha Basike anawatangazia wananchi wote wa Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma kujitokeza kwa wingi katika wiki hii ya kuchangia damu kwa hiari katika vituo vya ...
Tarehe ya kuwekwa: June 14th, 2018
HALMASHAURI ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma imekuwa na utaratibu wa kuwezesha vikundi vya Wanawake na Vijana kujiongezea kipato kwa kukopeshwa kutoka katika fedha za mapato ya ndani.
Kwa ...
Tarehe ya kuwekwa: June 14th, 2018
MAADHIMISHO ya wiki ya Utumishi wa Umma yanatarajia kuanza Juni 16 hadi Juni 23.Katika kufanikisha maadhimisho hayo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea anawakumbusha watumishi wote kushiri...