Tarehe ya kuwekwa: July 19th, 2023
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango anatarajia kuanza ziara ya kikazi kuanzia tarehe 20 Julai 2023 hadi 24 Julai 2023 Mkoani Ruvuma.
Akizungumza na waandishi ...
Tarehe ya kuwekwa: July 18th, 2023
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro (MB) amewataka wananchi kuunga mkono jitihada za Serikali inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassani ili kuleta msukumo wa maendeleo katika Tai...
Tarehe ya kuwekwa: July 12th, 2023
MKUU wa Wilaya ya Songea Wilman Kapenjama Ndile, ameanza ziara ya kutembelea Kata kwa kata kwa lengo la kusikiliza kero mbalimbali zinazohusu jamii ya kata husika.
Ziara hiyo imeanza tarehe 11 jula...