Tarehe ya kuwekwa: April 30th, 2018
DIRA ya Maendeleo ya Manispaa ya Songea ni kuwa kitovu cha uwekezaji na Mji wa viwanda kwa kutoa huduma bora na endelevu kwa lengo la kuinua maisha ya wananchi.
Dira hiyo inakwenda sanjari na...
Tarehe ya kuwekwa: April 29th, 2018
Taarifa ya CAG 2016-17.pdf
HALMASHAURI ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma imepata Hati safi katika mwaka wa fedha wa 2016 /2017 baada ya ukaguzi uliofanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za...
Tarehe ya kuwekwa: April 24th, 2018
UZINDUZI wa chanjo ya kuzuia saratani ya mlango wa kizazi mkoani Ruvuma umefanywa leo na Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme katika shule ya Sekondari ya Bombambili iliyopo Halmashauri ya Manispaa...