Tarehe ya kuwekwa: April 20th, 2018
WAJASIRIMALI wadogo wapatao 380 kutoka vikundi 67 katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma wamepata mafunzo ya mbinu za uwekezaji katika viwanda vidogo.
Mafunzo hayo ambayo yamefanyik...
Tarehe ya kuwekwa: April 19th, 2018
IDARA ya Afya katika Manispaa ya songea kwa kushirikiana na wataalam wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) wamefanya ukaguzi wa kawaida Aprili 16 katika duka moja la vyakula na vipodozi mjini Songea na...
Tarehe ya kuwekwa: April 17th, 2018
MKUU wa wilaya ya Songea mkoani Ruvuma nchini Tanzania pololet Mgema amewatahadharisha wakandarasi katika wilaya hiyo kuhakikisha wanamaliza miradi ya ujenzi ndani ya mkataba na kuhakikisha miradi hiy...