Tarehe ya kuwekwa: April 23rd, 2018
MKUU wa wilaya ya Songea ametoa rai kwa viongozi wa dini,wazazi,walezi na jamii kwa ujumla kuacha upotoshaji kuhusu chanjo ya kuzuia saratani ya mlango wa kizazi ambayo imeanza kutolewa leo Aprili 23 ...
Tarehe ya kuwekwa: April 21st, 2018
MAFUNZO ya utoaji chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi yalioshirikisha walimu wa afya na wahudumu wa Afya ya msingi Zaidi ya 300 kutoka katika Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma yamefanyika kwenye uku...
Tarehe ya kuwekwa: April 21st, 2018
WATOTO wa kike wenye umri wa kuanzia miaka 9 hadi 14 wapatao 28,676 katika mkoa wa Ruvuma wanatarajia kupewa chanjo dhidi ya saratani ya mlango wa kizazi .
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme a...