Tarehe ya kuwekwa: May 1st, 2018
Maandalizi ya Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2018 katika Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma yamepamba moto kwa kuhakikisha miradi yote inayotarajiwa kuwekewa mawe ya msingi na kuzinduliwa inakamili...
Tarehe ya kuwekwa: April 30th, 2018
DIRA ya Maendeleo ya Manispaa ya Songea ni kuwa kitovu cha uwekezaji na Mji wa viwanda kwa kutoa huduma bora na endelevu kwa lengo la kuinua maisha ya wananchi.
Dira hiyo inakwenda sanjari na...
Tarehe ya kuwekwa: April 29th, 2018
Taarifa ya CAG 2016-17.pdf
HALMASHAURI ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma imepata Hati safi katika mwaka wa fedha wa 2016 /2017 baada ya ukaguzi uliofanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za...