Tarehe ya kuwekwa: March 27th, 2018
OFISI ya Mkuu wa mkoa wa Ruvuma jana iliitisha mkutano wa wadau wa sekta ndogo ya nguruwe kujadili mkakati wa kuzuia maambukizi ya ugonjwa na namna ya kudhibiti ueneaji wa homa ya nguruwe.
Mkutano ...
Tarehe ya kuwekwa: March 26th, 2018
WATU kumi toka katika Kata za Majengo, Misufini, Bombambili,Matarawe na kata ya mjini Manispaa ya Songea wamepigwa faini ya jumla ya shilingi milioni moja na Mahakama ya Mwanzo ya Mfaranyaki baad...
Tarehe ya kuwekwa: March 25th, 2018
MKURUGENZI wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma Tina Sekambo amesitisha uchinjaji wa nguruwe katika maeneo yote ya Manispaa hiyo tangu Februari mwaka huu, kufuatia kuibuka kwa homa ya ng...