Tarehe ya kuwekwa: October 10th, 2017
MANISPAA YA SONGEA YAVUNJA MKATABA NA LUKOLO
HATIMAYE Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma imevunja rasmi Mkataba wa ujenzi wa lami nzito kati yake na Kampuni ya Lukolo yenye makao makuu...
Tarehe ya kuwekwa: October 8th, 2017
MILIONI 500 KUJENGA MRADI WA MAJI
ZAIDI ya sh.milioni 517 zinatarajia kutumika kujenga mradi wa maji wa Mitendewawa na kusambazwa katika mitaa miwili ya Mitendewawa na Chandarua iliyopo katika Kata...
Tarehe ya kuwekwa: October 6th, 2017
SONGEA KUTOKOMEZA MBU
HALMASHAURI ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma imeanza utekelezaji wa kutokomeza mbu baada ya kutoa mafunzo maalum kwa wafanyakazi wa kujitolea 49 watakaofanya ka...