Tarehe ya kuwekwa: February 8th, 2018
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) mkoani Ruvuma imeokoa zaidi ya shilingi milioni 25 ambazo zilitaka kutumika kama mishahara hewa na Idara za serikali.
Akitoa taarifa ya TAKUKURU k...
Tarehe ya kuwekwa: February 7th, 2018
HALMASHAURI ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma imeanza kutoa malipo kwa njia ya mtandao kwa kaya masikini zipatao 4880 ziliopo katika mpango wa kunusuru kaya masikini(TASAF).
Mratibu wa TASAF kati...
Tarehe ya kuwekwa: February 5th, 2018
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amesema Mkandarasi anayejenga barabara ya lami toka Mbinga hadi Mbambabay wilayani Nyasa anaanza ujenzi mwezi huu ambapo TANROAD mkoa wa Ruvuma wamempokea Mkand...