Tarehe ya kuwekwa: March 31st, 2018
MWENGE wa Uhuru utaingia kutokea mkoani Njombe.Mwenge wa Uhuru katika mkoa wa Ruvuma unakimbizwa kuanzia Juni 3 hadi 10,2018 kabla ya kukabidhiwa mkoani Mtwara .zaidi angalia ratiba hii ya nchi nzima ...
Tarehe ya kuwekwa: March 29th, 2018
IDARA ya Afya katika Manispaa ya songea kwa kushirikiana na wataalam wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) wamefanya operesheni katika maduka ya vipodozi mjini Songea na kufanikiwa kukamata aina mbalim...
Tarehe ya kuwekwa: March 28th, 2018
WAKALA wa Majengo Tanzania (TBA) leo Machi 28,2018 wamekabidhi mabweni matatu na madarasa mawili ya shule ya msingi Luhira iliyopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma.
Akizungumz...