Tarehe ya kuwekwa: November 26th, 2017
MKOA wa Ruvuma unakabiliwa na upungufu mkubwa wa wauguzi hali ambayo inasababisha baadhi ya wauguzi waliopo kufanya kazi kwa saa 12 badala ya saa nane ambazo zinakubalika kisheria.
Akisoma risala y...
Tarehe ya kuwekwa: November 24th, 2017
JIMBO la Songea mjini limeingia katika giza nene baada ya nyota yenye mwangaza kuzima ghafla wakati ndo kwanza safari ya kuijenga Manispaa ya Songea inaendelea.
Mbunge wa Songea mjini Leonidas Gama...
Tarehe ya kuwekwa: November 24th, 2017
WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amewaagiza watumishi wa umma katika Halmashauri zote nchini kuwahudumia wananchi kwa wakati na kuacha tabia ya kuwasumbua kwamba wafike k...