Tarehe ya kuwekwa: January 20th, 2018
MKUU wa wilaya ya Songea Pololet Mgema amekabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 71 zilizotolewa na Halmashauri ya Manispaa ya Songea Kama mkopo kwa vikundi 53 kwa ajili ya kuendeleza miradi Yao.
...
Tarehe ya kuwekwa: January 18th, 2018
RAIS Dk John Magufuli ameagiza viongozi na watendaji ambao shule za msingi na sekondari katika maeneo yao zinawatoza wanafunzi michango mbalimbali kinyume na mwongozo wa Serikali wa utoaji wa elimu bi...
Tarehe ya kuwekwa: January 17th, 2018
MAKUMBUSHO ya Taifa chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii imejenga mnara wa kumbukumbu ya mashujaa 67 walionyongwa kikatili katika eneo la Songea klabu uliogharimu zaidi ya sh. milioni 16.
Lengo l...