Tarehe ya kuwekwa: December 1st, 2017
SERIKALI wilayani Nkasi mkoani Rukwa imesema kuanzia sasa watakaotuhumiwa kuwapa mimba wanafunzi majina yao yatangazwa katika Redio ya Nkasi kila baada ya taarifa ya habari.
Mkuu wa wilaya ya Nkasi...
Tarehe ya kuwekwa: November 28th, 2017
SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai amewaongoza maelfu ya wakazi wa Manispaa ya Songea kwenye mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Songea mjini Leonidas Gama.Mazishi hayo y...
Tarehe ya kuwekwa: November 26th, 2017
MKOA wa Ruvuma unakabiliwa na upungufu mkubwa wa wauguzi hali ambayo inasababisha baadhi ya wauguzi waliopo kufanya kazi kwa saa 12 badala ya saa nane ambazo zinakubalika kisheria.
Akisoma risala y...