Tarehe ya kuwekwa: October 29th, 2017
HALMASHAURI ya Manispaa ya Songea imeanza rasmi upuliziaji mazalia ya mbu katika mitaa 95 iliyopo kwenye kata 21 zilizopo katika Halmashauri hiyo.Afisa Afya Mkuu wa Manispaa ya Songea Vitalis Mkomela ...
Tarehe ya kuwekwa: October 28th, 2017
MKUU wa Wilaya ya Songea Pololet Kamando Mgema amemwagiza Mkurugenzi wa Manispaa ya Songea kupitia kwa maafisa afya kuwapiga faini ya sh. 50,000 kwa kila mwananchi ambaye hatashiriki Jumamosi ya kila ...
Tarehe ya kuwekwa: October 27th, 2017
KAMATI ya Fedha na Uongozi ya Baraza la Madiwani la Manispaa ya Songea imefanya ziara ya kukagua na kufanya tathmini ya miradi ya maendeleo iliyopo katika manispaa ya Songea.
Moja ya miradi hiyo ni...