Tarehe ya kuwekwa: October 25th, 2017
WANUFAIKA wapatao 4881 waliopo katika mpango wa kunusuru kaya masikini(TASAF) katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma wamelipwa zaidi ya sh.milioni 175 katika kipindi cha Septemba...
Tarehe ya kuwekwa: October 24th, 2017
MAMLAKA ya Udhibiti wa Chakula na Dawa ( TFDA ) katika Manispaa ya Songea Mkoa wa Ruvuma, imekamata dawa za Binadamu ambazo zilikuwa zinaendelea kuuzwa .
Mratibu wa TFDA katika Manispaa ya Songea, ...
Tarehe ya kuwekwa: October 24th, 2017
MAMLAKA ya Udhibiti wa Chakula na Dawa ( TFDA ) katika Manispaa ya Songea imekamata diapers( Nepi) ambazo muda wake umemalizika tangu Agosti mwaka huu zikiendelea kuuzwa katika moja ya maduka yaliopo ...