Tarehe ya kuwekwa: October 24th, 2017
MAMLAKA ya Udhibiti wa Chakula na Dawa ( TFDA ) katika Manispaa ya Songea Mkoa wa Ruvuma, imekamata dawa za Binadamu ambazo zilikuwa zinaendelea kuuzwa .
Mratibu wa TFDA katika Manispaa ya Songea, ...
Tarehe ya kuwekwa: October 24th, 2017
MAMLAKA ya Udhibiti wa Chakula na Dawa ( TFDA ) katika Manispaa ya Songea imekamata diapers( Nepi) ambazo muda wake umemalizika tangu Agosti mwaka huu zikiendelea kuuzwa katika moja ya maduka yaliopo ...
Tarehe ya kuwekwa: October 23rd, 2017
MJI wa Songea uliopo katika Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma,ulianzishwa mwaka 1897 kama Kituo cha Kijeshi cha Kijerumani,mji huo ulikuwa Makao makuu ya utawala wa wakoloni wa kijerumani na wilaya ya ...