Tarehe ya kuwekwa: February 1st, 2023
Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano (TCRA CCC) limeanzishwa kwa kifungu cha 40 cha Sheria ya Mamlaka ya Mawasiliano Na. 12 ya mwaka 2003 kama ilivyorekebishwa mwaka 2017 ikiw...
Tarehe ya kuwekwa: January 31st, 2023
Katibu Tawala Wilaya ya Songea Pendo Daniel ameendesha Tafrija ya kumuaga aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Songea Pololet Kamando Mgema na kumkaribisha Mkuu wa Wilaya (Mteule) Wilman Kapenjama Ndile iliyof...
Tarehe ya kuwekwa: January 31st, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanal Labani Thomas amewataka Wakuu wa Wilaya Mkoani Ruvuma kufanya ziara ya kuwatembelea Wananchi kwa lengo la kusikiliza kero zao na kuzitatua pamoja na kuka...