Tarehe ya kuwekwa: December 26th, 2022
Mstahiki Meya Manispaa ya Mtwara /Mikindani Shadida Ndile amewaongoza Madiwani katika kutembelea Manispaa ya Songea kwa ajili ya kujifunza namna ya uendeshaji wa shughuli mbalimbali...
Tarehe ya kuwekwa: December 19th, 2022
Mkurugenzi wa Usimamizi wa Elimu kutoka ofisi ya Rais TAMISEMI Vicent Kayombo amewataka wataalam kusimamia miradi kwa weredi ili iweze kujengwa kwa ubora na viwango vinavyotakiwa.
...
Tarehe ya kuwekwa: December 19th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Songea Pololet Kamando Mgema ametoa pongezi kwa Wataalamu na Viongozi wa Manispaa ya Songea katika kufanikisha kutekeleza miradi ya maendeleo ambayo ni ujenzi wa vyumba v...