MKUU wa wilaya ya songea pololet Mgema amezindua zoezi la ugawaji wa vitambulisho vya wajasiriamali katika wilaya ya songea kwenye ukumbi wa Manispaa ya songea.
SHIRIKA lisilo la kiserikali la Ruvuma Orphans Association limetoa msaada kwa shule mbili za msingi zilizopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma.Shule hizo ni shule ya msingi Matogoro na shule ya msingi Misufini.Tazama zaidi makala haya.
MKUU wa wilaya ya Somgea pololet Mgema alikuwa mgeni rasmi katika hafla ya kukabidhi vitambulisho hivyo iliyofanyika kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mtendaji kata Mateka Manispaa ya Songea.
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa