HALMASHAURI ya wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma imefanikiwa kupunguza vyumba vya madarasa ya nyasi hali ambayo imepunguza utoro wa wanafunzi na kusaidia kuinua kiwango cha elimu.Zaidi fuatilia simulizi hii ya mabadiliko inayoweza kuleta mabadiliko katika Halmashuri nyingine nchini Tanzania
Spika wa Bunge Job Ndugai amepiga marufuku kwa Wabunge wote kutoingia Bungeni wakiwa na kope bandia na kucha Bandia, lakini pia amesema anaendelea kukusanya maoni kuhusu wale wanaojichubua ngozi zao ili nalo alifanyie maamuzi.Spika Ndugai amesema hayo kutolewa hoja ya madhara yatokanayo na kucha pamoja na kope bandia iliyotolewa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile
VIJANA wanaoishi katika mazingira hatarishi wapatao 51 wametunukiwa vyeti na Chuo cha Ufundi Stadi VETA baada ya kuhitimu mafunzo ya kozi ya miezi mitatu.Vijana hao walifadhiliwa na PADI kwa ufadhili wa PACT TANZANIA
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa