Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Magufuli akizungumizia muhimu wa halmashauri zote nchini kusimamia mapato. Magufuli amesishia Halmashauri ambazo zinashindwa kukusanya kodi kushishwa hadhi.
Watazame maafisa ngazi ya wilaya zote za mkoa wa Ruvuma wakipata Mafunzo ambayo yameendeshwa na TUSOME PAMOJA Kwa lengo la kuwajengea uwezo katika simulizi za mabadiliko.
MTAZAMEaliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji ,Profesa Elisante Ole Gabriel anaeleza maana ya kiwanda na aina za kiwanda na kwamba mtu mmoja hadi wanne wanaweza kuanzisha kiwanda.
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa