TAZAMA makala haya yanavyoonesha ushirikiano wa jamii na walimu katika Manispaa ya Songea ulivyopunguza utoro na kuinua taaluma.Mafunzo ya TUSOME pamoja yamesaidia kuimarisha ushirikiano wa wazazi na walimu
MTAZAME Mkuu wa Wilaya ya Songea Pololet Kamando Mgema akimwagiza OCD wa wilaya ya Songea kumkamata mtuhumiwa wa fedha kiasi cha shilingi 800,000 ambazo ni mchango wa wananchi wa Kata ya Mfaranyaki manispaa ya Songea za usafi wa Mazingira
KAMPUNI ya kimataifa ya serikali ya China inayoitwa SIETICO inatekeleza mradi wa Ujenzi wa Stendi mpya katika eneo la Tanga Manispaa ya Songea ambayo imefadhiliwa na Benki ya Dunia kwa gharama ya sh.bilioni sita. Tazama muonekano wa Stendi itakapokamlika Septemba mwaka 2019.
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa