UJENZI wa mradi wa reli ya kisasa umefikia asilimia 16.Mradi huo unakwensa sanjari na uboreshaji wa reli ya zamani lengo likiwa ni kuboresha reli ua kati ili kufikia katika ubora wake.
WAZIRI Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amefanya ukaguzi wa mwisho wakukagua daraja la juu la TAZARA ambapo kazi ya ujenzi imekamilika kwa asilimia 98 hivyo uzinduzi wa daraja unatarajia kufanyika Oktoba mwaka huu na Rais Dkt.John Magufuli
Kampeni ya Furaha Yangu katika Mkoa wa Ruvuma inatarajiwa kuzinduliwa Agosti 31 mwaka huu kwenye uwanja wa Majimaji mjini Songea ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri wa Afya,Ustawi Jamii,jinsia,watoto na wazee Ummy Mwalimu.
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa