VIDEO hii ni kwa ajili ya Mafunzo ya Mfumo wa Epicor 10.2 Version 1, Kwa Mamlaka ya Serikali za Mitaa - TANZANIA.Jumla ya Halmashauri zote 185 nchini zinatumia mfumo wa EPICORTumia Link hii http://172.16.18.194 kwa Mawasiliano na Dawati la Msaada TAMISEMI.H
MKUTANO wa Kimataifa wa wanafunzi wanasayansi vijana wa Tanzania (YST) yamefanyika hivi karibuni kwenye ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Juliusi Nyerere jijini Dar es salaam.Tanzania mwaka huu umeshiriki katika maonesho ya nane ya Young Sciencist Tanzania ambapo takribani wanafunzi wa shule za sekondari zaidi ya 100 kutoka mikoa yote nchini wameshiriki.
Manispaa ya Songea imetoa wanafunzi walioshiriki katika maonesho hayo ambapo washindi hupata zawadi mbalimbali ambapo washindi wa mwaka 2017 walikwenda kushiriki katika maonesho ya wanasayansi vijana nchini Afrika ya Kusini katika mji wa Durban ambako walishinda katika kundi la teknolojia.Washindi hao pia walipata fursa ya kwenda kutembelea kiwanda cha simu nchini Swedeni.
MTAZAME Waziri wa Afya Ummy Mwalimu akielezea kuhusu ugonjwa ebola ambao umeshaingia katika nchi jirani ya Kongo DRC na kwamba serikali kupitia Wizara ya Afya imechukua tahadhari ya kuhakikisha ugonjwa huo hauingia hapa nchini
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa