TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma imeokoa kiasi cha Zaidi ya shilingi milioni 53 ambazo zingetumika kama mishahara hewa katika sekta ya afya,elimu na TAMISEMI.Akitoa taarifa ya utendaji kazi wa TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma kwa wanahabari katika kipindi cha kuanzia Julai 2017 hadi Juni 2018,Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma Yustina Chagaka amesema kati ya fedha zilizookolewa katika sekta ya afya pekee zimeokolewa Zaidi ya shilingi milioni 44.
MTAZAME Rais Dkt John Magufuli akielezea sababu za kuwachagua vyama vya upinzani huku akieleza kuwa Tanzania inajengwa na wote bila kujali chama cha mtu
MTAZAME Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Kikwete akitoa maagizo mazito kwa watendaji katika ngazi zote Ikulu jijini Dar es salaam
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa