MTAZAME Mstahiki Meya wa Manispaa ya Songea Alhaji Abdul Hassan Mshaweji akizungumiza malengo ambayo yamewekwa na Manispaa ya Songea katika mwaka wa Fedha wa 2018/2019 ili kuhakikisha makusanyo ya mapato yanaongezeka
MTAZAME Mstahiki Meya wa Manispaa ya Songea akijibu maswali ya papo kwa papo kutoka kwa madiwani kwenye mkutano wa Baraza la madiwani uliofanyika kwenye ukumbi wa manispaa ya Songea.Hapa anajibu swali la Diwani wa Ruhuwiko Wlbert Mahundi kuhusu ujenzi wa kituo cha Afya Ruhuwiko
MTAZAME Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Songea Alto akizungumzia namna Manispaa ya Songea ilivyojipanga kuongeza mapato kutoka makusanyo ya asilimia 81 mwaka 2017/2018 hadi kufikia asilimia 100 katika mwaka fedha wa 2018/2019
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa