MTAZAME Rais Dkt.John Magufuli wakati anawaongoza watanzania katika mapokezi ya ndege mpya kubwa ya aina yake ya Boeing ambayo imenunuliwa kwa fedha za watanzania.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Julai 8, 2018 amewaongoza wakazi wa Jiji la Dar es salaam katika mapokezi ya ndege mpya aina ya Boeing 787-8 Dreamliner iliyonunuliwa na Serikali ya Tanzania kwa ajili ya kuliimarisha Shirika la Ndege la Taifa (ATCL).
MTAZAME Waziri wa Maliasili na Utalii Dk.Khamis Kigwangala akizungumzia maporomoko ya Kalambo ambayo yanaaminika kuwa ya pili kwa urefu barani Afrika,yakitanguliwa na maporomoko ya Afrika ya Kusini.
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa