Hii Sio ndoto tena Technolojia Imekua sana, sasa unauwezo wa kuepuka foleni kwa kununua Gari linalo paa we unadhani gari hili litawezekana kuja tanzania na kama litakuja litakua na thamani gani Comment utuambie.
Hebu, nikuulize hivi wewe utahisi vipi ikiwa utakuwa ndani ya gari ambayo, haina dereva! Gari ambayo inaendeshwa au ni afadhali kusema inadhibitiwa tuseme kwa njia ya kopmyuta tuu? Gari hiyo haina usukani wala dereva. Kampuni kubwa ya Marekani Google imetangaza mipango yake ya kuunda magari mia moja ya aina hiyo, na magari hayo yamekuwa yakijaribiwa mjini California. Suluma Kassim wa BBC, anatueelezea zaidi.
MKUU wa Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma,Pololet Mgema amezindua rasmi Bodi ya Huduma za Afya katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea.
Akizungumza kabla ya uzinduzi wa Bodi hiyo,Mkuu wa Wilaya ya Songea, Pololet Mgema ameiagiza Bodi hiyo kusimamia dawa za serikali kuhakikisha dawa hizo zinalindwa kwa kuwa ni rasilimali za umma hivyo zinatakiwa kutumika kwa ajili ya wananchi wote.
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa