Utafiti umebaini kuwa Katika Hifadhi ya Taifa ya Kitulo iliyopo mkoani Mbeya, kuna ndege aina ya abdims stock,denhams(tandawili machaka) na blue swallow ambao wametoka Afrika ya kaskazini,Afrika ya kusini, Australia na Ulaya ambao wanaitumia hifadhi ya Taifa ya Kitulo kama makazi yao katika misimu tofauti.
Hifadhi ya Taifa ya Kitulo ndiyo eneo pekee duniani ambalo bata aina ya tandawala machaka(Denhams Bustard) wanazaliana.
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Selemani Jafo amekutana na Waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dodoma na kutoa taarifa kwa Umma kuhusu uchaguzi wa wanafunzi waliofaulu kidato cha nne kujiunga na kidato cha tano pamoja na wataojiunga na vyuo vya ufundi.
Mzee mwenye watoto 70 na wajukuu 300, anaishi wilayani Monduli mkoani Arusha anaitwa.Mzee Meshuko Ole Mapi mwenye umri wa miaka 108 maarufu Mzee Laibon, amelazimika kuwa na shule yake ambapo asilimia 90 ya wanafunzi wote katika shule ni watoto na wajukuu wake.Ana ng'ombe zaidi ya 4000.
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa