MTAZAME Mhifadhi Msaidizi wa Idara ya Mambokale Musa Nsojo akielezea nyotamkia(kimondo) ambayo ilianguka mwaka 1840 katika msitu wa kijiji cha Ndolezi wilayani Mbozi mkoani Songwe ambayo ni kivutio adimu cha utalii.Nyota hiyo ilimeguka toka sayari ya Jupiter au mars na kutua katika sayari ya dunia.
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa