Mh. Kelvin Mapunda Mwenyekiti wa ALAT Mkoa Ruvuma, ameongoza wajumbe wa kamati ya ALAT Mkoa wa Ruvuma katika kutembelea miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo iliyofanyika jana 31 Mei 2022.
Wananchi watakiwa kushiriki zoezi la sensa ya watu na makazi ifikapo tarehe 23 Agost 2022
Manispaa ya songea ilianza ujenzi wa madarasa tarehe 01 Novemba ba kukamilisha tarehe 09 Desemba na kukabidhiwa kwa Mkuu wa Wilaya tarehe 11 Desemba 2021 yakiwa yemekamilika. Madarasa hayo yamejengwa kwa kiasi cha fedha shilingi 660,000,000.
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa