Mkuu wa Wilaya ya Songea Pololet Mgema amefanya kikao na wadau wa maendeleo wilaya ya Songea ambapo amewapongeza kwa kuiunga mkono serikali katika matumizi sahihi ya kituo kipya cha cha mabasi cha Songea kilichojengwa Kata ya Tanga Manispaa ya Songea kwa gharama ya zaidi ya shilingi bilioni sita.
Waziri wa ardhi, Nyumba,na Maendeleo ya Makazi mH. William Lukuvi afungua Ofisi ya ardhi Mkoa wa Ruvuma pamoja na uzinduzi wa Mpango Kabambe wa Manispaa ya Songea.
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa