Machinjio ya kisasa Manispaa ya Songea inauwezo wa kuchinja ng'ombe 300 kwa siku. Ni machinjio ya kisasa, bora, ni salama kwa malji.
Mkuu wa Wilaya ya Songea Pololet Mgema amefanya kikao na wadau wa maendeleo wilaya ya Songea ambapo amewapongeza kwa kuiunga mkono serikali katika matumizi sahihi ya kituo kipya cha cha mabasi cha Songea kilichojengwa Kata ya Tanga Manispaa ya Songea kwa gharama ya zaidi ya shilingi bilioni sita.
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa