Kampeni ya chanjo ya surua-rubella katika Manispaa ya Songea inaanza Oktoba 17 hadi 22,2019 katika mitaa yote 95 ya Manispaa ya Songea