Mh. Kelvin Mapunda Mwenyekiti wa ALAT Mkoa Ruvuma, ameongoza wajumbe wa kamati ya ALAT Mkoa wa Ruvuma katika kutembelea miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo iliyofanyika jana 31 Mei 2022.
Wananchi watakiwa kushiriki zoezi la sensa ya watu na makazi ifikapo tarehe 23 Agost 2022
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa