SERIKALI imetoa zaidi ya shilingi milioni 950 kwa ajili ya kukarabati sekondari kongwe ya Songea Boys ambayo ilianzishwa mwaka 1950 na serikali ya wakoloni.
KAMATI ya Siasa ya CCM katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma imefanya ziara ya kutembelea mradi wa bustani ya Manispaa ya Songea uliofadhiliwa na Benki ya Dunia kwa gharama ya shilingi milioni 399
MRADI wa ujenzi wa Kituo cha Afya Kata ya Ruvuma Manispaa ya Songea uliogharimu shilingi milioni 400 umefikia asilimia 28 hadi kufikia Juni 20 mwaka huu.
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa