Mkurugenzi wa Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma Tina Sekambo amewaasa wananchi wote katika Manispaa hiyo kuachana na matumizi ya mifuko ya plastiki na kutumia mifuko mbadala kuanzia Juni Mosi 2019.
Okamoto Ryuta ni Raia toka nchini Japan ambaye ameleta Teknolojia rahisi ya kufua nguo kwa sekunde 30.Teknolojia hiyo ilianzia ULAYA ikaenda Japan na sasa Songea Tanzania
MTAZAME Katibu Tawala wa Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma Pendo Ndumbaro akielezea adhabu ambazo atapewa atakayekutwa na mifuko ya plastiki
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa