Mtazame Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Constantine Kanyasu akizungumzia azma ya serikali kufungua milango ya utalii Kusini.Alikuwa anazungumza katika mahafali ya chuo cha CBCTC Namtumbo mkoani Ruvuma.
TAMISEMI imetoa pongezi kwa Halmashauri ya Manispaa ya Songea kwa tovuti yake kuwa miongoni mwa Tovuti za serikali zinazofanya vizuri hivi sasa kwa kutoa taarifa mbalimbali mara kwa mara kupitia tovuti hiyo.Pongezi hizo zimetolewa na Msimamizi wa Tovuti za mikoa na Halmashauri wa TAMISEMI Atley Kuni
Mkuu wa chuo cha (CBCTC) Jane Nyau,CBCTC kuanzia Julai 2019 kinatarajia kuanza kutoa kozi ya Astashahada ya Awali ya Waongoza watalii kwa muda wa mwaka mmoja.
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa